MASOMO
SOMO 1:
Mwa12:1-9
Bwana alimwambia Abramu, Toka wewe katika nchi yako, na jamaa zako, na nyumba ya baba yako, uende mpaka nchi nitakayokuonyesha; nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, na kukubariki, na kulikuza jina lako; nawe uwe baraka; nami nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani; na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa. Basi Abramu akaenda, kama Bwana alivyomwamuru; Lutu akaenda pamoja naye. Naye Abramu alikuwa mtu wa miaka sabini na mitano aiipotoka Harani. Abramu akamchukua Sarai mkewe, na Lutu mwana wa nduguye, na vitu vyao vyote walivyokuwa wamejipatia, na hao watu waliowapata huko Harani, wakatoka ili kwenda nchi ya Kanaani; nao wakaingia katika nchi ya Kanaani. Abramu akapita katikati ya nchi mpaka mahali patakatifu pa Shekemu; mpaka mwaloni wa More. Na Wakanaani siku zile walikaa katika nchi hiyo. Bwana akamtokea Abramu, akasema, Uzao wako nitawapa nchi hii. Naye huko akamjengea madhabahu Bwana aliyemtokea. Kisha akaondoka huko akaenda mpaka mlima ulio upande wa mashariki wa Betheli, akaipiga hema yake; alikuwa na Betheli upande wa magharibi, na Ai upande wa mashariki; akamjengea Bwana madhabahu huko, akaliitia jina la Bwana. Naye Abramu akasafiri, akazidi kwenda pandc za kusini.
WIMBO WA KATIKATI: Zab.33:12-13,18-20,22 (K)12
1. Heri watu aliowachagua kuwa urithi wakc. Toka mbinguni Bwana huchungulia, Huwatazama wanadamu wote pia.
(K) Heri taifa ambalo Bwana ni Mungu wao,
watu aliowachagua kuwa urithi wake.
2. Tazama, jicho la Bwana li kwao wamchao, Wazingojeao faadhili zakc. Yeye huwaponya nafsi zao na mauti, Na kuwahuisha wakati wa njaa. (K)
3. Nafsi zetu zinamngoja Bwana; Yeye ndiyc msaada wetu na ngao yetu. Ee Bwana, fadhili zako zikae nasi, Kama vile tulivyokungoja Wewe. (K)
Shangilio: Zab.l9:8
Aleluya, aleluya,
Amri ya Bwana ni sali,
huyatia macho nuru.
Aleluya.
INJILI:

Mk.7:1–5
Yesu aliwaambia wanafunzi wake: Msihukumu msije mkahukumiwa ninyi. Kwa kuwa hukumu mhukumuyo, ndiyo mtakayohukumiwa; na kipimo kile mpimiacho, ndicho mtakachopimiwa. Basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii? Au utamwambiaje nduguyo, Niache nikitoe kibanzi katika jicho lako; na kumbe! Mna boriti ndani ya jicho lako mwenyewe? Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe; ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi katika jicho la ndugu yako.
MAOMBI
Ndugu, Babu yetu Ibarahimu alifaulu kuishi kwa imani na utii kwa Mungu. Tunahitaji msaada wa Mungu ili kuiga mfano huo. Tuombe:-
Kiitikio: Upokee ombi letu.
1. Kwa imani, Ibrahimu alipoitwa aliitika na kwenda asikokujua. Uwajalie Maaskofu, Mapadre na wote wenye miito mitakatifu roho ya kimisionari, wapate kuihubiri Injili kokote unakotaka Wewe. Ee Bwana.
2. Uwaonye watawala wa dunia wasiowaongoza watu wako kadiri ya sheria na amri zako, ili wageuke na kuziacha njia zao mbaya. Ee Bwana.
3. Uwajalie watu wote duniani baraka na paji la imani safi na ya kudumu. Ee Bwana.
4. Utuepushe na unafiki pamoja na utoaji hukumu tusizostahili kwa jirani zetu. Ee Bwana.
5. Marehemu wetu wapate kibali cha kuingia mbinguni uliko Wewe. Ee Bwana.
Ee Mungu kwa huruma yako pokea maombi yetu hata yale ambayo hatukuweza kuyataja. Kwa njia ya Kristo Bwana wetu. Amina.

No comments
Post a Comment